VIPAUMBELEKWANZA inatoa mafunzo na ushauri katika nyanja zifuatazo:
1. Uchumi wa Kibiblia (Biblical Economics)
VIPAUMBELE
KWANZA ni mtandao wa kijamii unaotoa MAFUNZO na USHAURI kwa watanzania
katika kuishi maisha ya mafanikio kama Mungu alivyokusudia.
2. Ndoa na Mahusiano Kibiblia
3. Misingi ya Fedha (Financial Basic Principles)
4. Uhusiano wa Fedha na Uongozi
5. Kweli ya neno la Mungu.
MAWASILIANO:
Email: mahendefaustin@gmail.com
Simu: +255 765 977 026
Au +255 782 720 824
Facebook: Mlishi Faustin
0 maoni:
Chapisha Maoni